Watumishi wa Maktaba Wakiwa na Watumishi Wenzao Kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba
Mtumishi wa Maktaba akitoa Elimu kwa Wateja waliotembelea kitengo cha Maktaba.
Wakutubi Pamoja na Watumishi Wengine Wakiwa na Naibu Katibu Mkuu Bi. Jenifa C. Omolo Katika Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane, Dodoma.
Watumishi wa Maktaba wa Wizara baada ya kutoa mafunzo kwa watumishi wa TRA kuhusu Mfumo wa Hazina ya Machapisho
Mtumishi wa Wizara Bw. Tumaini katabazi akitoa elimu kwa mteja kuhusu Mfumo wa Hazina ya Machapisho katika maonesho wa kimataifa ya nanenane Dodoma.
Permanent Secretary - Treasury