Maono, Dhamira na Malengo


Page Image

Maktaba ya WFM ina jukumu kubwa kama mtoaji wa habari na maarifa kwa Vitengo vya Wizara na Taasisi, Washirika, Wizara na idara pamoja na washauri, watafiti na umma kwa ujumla, kwa uoanishaji wa sera, mchakato wa kufanya maamuzi na kwa mitandao ya kimkakati na wadau wote ndani ya nchi.

Dhamira : Kujenga kituo maalumu cha taarifa na maarifa kwa WFM na taasisi zake, washirika, wadau na nchi kwa ujumla.

Maono : Kituo cha usambazaji bora wa taarifa za WFM na taasisi zake katika kuimarisha na kuendeleza ukuaji wa uchumi wa nchi.

Malengo ya Maktaba
Lengo Kuu

Lengo kuu la maktaba ya WFM ni kutoa taarifa na maarifa faafu kwa ajili ya kusaidia Vitengo vya WFM katika kutimiza wajibu wake.

Malengo Mahususi
  1. Kujikita katika ukusanyaji, upangiliaji, na usambazaji wa taarifa zilizochambuliwa ambazo zinasaidia [utendaji wa] shughuli za WFM.
  2. Kushirikiana na vituo vingine vya taarifa na maktaba ndani ya nchi kuendeleza maarifa mapana katika utoaji wa taarifa.
  3. Utoaji wa huduma ya taarifa za matini mpya na taarifa za matini mahsusi [kwa vitengo mahsusi vya WFM].
  4. Kuwa kituo cha taarifa kwa watafiti.
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images